Yondan Majukumu mazito Starz

Beki kisiki wa Yanga mkongwe Kelvin Yondani atakuwa na jukumu la kuiongoza safu ya ulinzi ya timu ya Taifa kwenye michuano ya Afcon 2019 inayoanza keshokutwa nchini Misri


Kuumia kwa Agrey Morris ni pigo kwa Stars ambayo sasa itategemea uzoefu wa Yondani kwenye safu ya ulinzi


Yondani huenda akacheza sambamba na Erasto Nyoni au David Mwantika aliyeongezwa kuchukua nafasi ya Morris


Yondani ameicheza Stars mechi 80 katika kipindi cha miaka kumi aliyoitumikia timu hiyo


Comments