
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetoa semina kwa timu zote zinazoshiriki fainali za Afcon 2019 yenye lengo la kuelekeza taratibu mbalimbali kabla ya kuanza mashindano hayo
Wachezaji wa Stars wamepewa Semina hiyo leo pamoja na benchi la ufundi
Aidha Stars ilipokea tuzo kutoka CAF baada ya kufanikiwa kushiriki michuano hiyo inayoanza keshokutwa nchini Misri
Comments
Post a Comment