Msanii Future ambaye pia ni mwanzilishi wa kundi la the Freebandz, ametangaza leo hii kuwa ataachia albamu yake iitwayo SAVE ME, Ijumaa (08/ 06/ 2019)
Future ametoa info hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram jana (June 5)
Future anaachia album hii baada ya kuachia album nyingine 'WIZRD' mwezi wa kwanza. Mashabiki wa Future kaaeni mkao wa kula kupokea hiyo EP.
chanzo: hiphopdx
“
Comments
Post a Comment