Mabibi Harusi wa Zamani Walikuwa Wakilia Harusini, Wasikuhizi Siku Hizi Wanacheka na Kucheza, Sababu nini?


Zamani Mabibi Harusi walikuwa wakilia kwenye harusi. Matron walikuwa na kazi kuwafuta machozi

Sasa hivi Mabibi Harusi
Wanaimba
Wanacheka
Wanacheza Kwaito hadi viduku

Kilichokuwa kinawaliza wa zamani ni nini?
na kinachowafurahisha wa siku hizi ni nini?
chanzo: udakuspecial

Comments