Idris amewahoji wadau kuwa wanahisi maaskari wanamuonyesha hizo pole akiwa huko mahabusu? huku akisema kuwa hizo pole zitamsaidia zaidi zikimfikia personally.
"Baadhi ya vitu ambavyo inabidi tupotezee sana watanzania ni mambo ya kuuliza watu “Kwanini hujaposti janga, au tatizo lililomtokea mtu”. Zamani nilikuwa nikiweka vitu kama hivyo online nampa pole mtu n.k siku hizi nimebadili fikra zangu kwenye mambo kama haya," alisema Idris.
"Watu wengi sana wamekuwa wakipeana pole kupitia posts na kujikuta siku hadi siku wanapunguza kufanya haya mambo katika maisha ya nje ya mtandao. Unampongeza mtu happy birthday on instagram (ambayo ni nzuri sana tu) ila unasahau kuwa ni mtu wako wa karibu na ungeweza kumpigia pia na simu ukamjulia na hali on a more personal level."
chanzo: udakuspecial
Comments
Post a Comment