Drake kuachia nyimbo mbili 'Omerta' na 'Money in the Grave' kusherehekea UBINGWA wa Toronto Raptors


Drake, May 2019 (Vaughn Ridley/Getty Images)Msanii machachari wa Hiphop nchini Marekakani, Drake ataachia ngoma mbili kesho baada ya Ushind wa timu yake 'Toronto Raptors' ambayo ni timu ya Maskani yake ya Toronto, Canada. Drake ataachia track hizo kama sehemu ya ku-enjoy ushindi na ubingwa wa NBA 2019 wa Raptors.
Drake ni mnazi wa kutupwa wa Raptors, na amekuwa akionekana nyakati tofauti tofauti akitoa hamasab kuhusu timu hiyo. Ngoja tuone kitakacho tokea tomorrow.
source: pitchfork


Drake, May 2019 (Vaughn Ridley/Getty Images)


Comments