Wiki chache baada ya kuachia album yake ya 'Indigo' Chris Brown amewadokezea mashabiki wake kuwa yeye na Drake wanajiandaa kuachia bonge la track, kipindi cha majira ya kiangazi. Breezy alishare post kwenye ukurasa wa Insta akiwa na Dreezy siku ya Jumatano, yenye caption isemayo, “SUMMER TIME BOUT TO GET ALOT HOTTER!”
CHANZO: HIPHOPDX

Comments
Post a Comment