ALLY ALLY ASAINI MIAKA MIWILI JANGWANI

Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa mlinzi wa kati Ally Ally aliyekuwa akichezea KMC


Ally amesaini mkataba wa miaka miwili kuwatumikia mabingwa hao wa kihistoria


Yanga imemtambulisha rasmi beki huyo ambaye aliitwa kwenye kikosi cha awali cha timu ya Taifa


Comments