Simba Yapigwa Bao 5 na Sevilla

Image result for simba vs sevilla

Wekundu wa Msimbazi wamepokea kichapo cha bao 5 kwa 4 kutoka kwa  timu ya Sevilla ya Uhispania.Walianza Vizuri na kuongoza kwa magoli mpaka karibia dakika 90 lakini Sevilla wakatumia dakika za nyongeza kurudisha magoli mawili waliyokuwa nyuma... Simba watajilaumu wenyewe kwa kukosa umakini dakika za lala salama. ilivyoonekana ni kwamba simba wamezidiwa weledi na wachezaji wa Sevilla.

Comments