Ruby alifanyiwa visa balaa, ''Nandy aliletwa kuniua mimi''


Image result for ruby dakika moja

Msanii wa Bongo fleva Ruby amefunguka mambo mengi sana kuhusu viova alivyofanyiwa mpaka akaonekana kupotea kimuziki. Ruby anasema: "Wakati nipo Kings Music nilifanyiwa visa, mwanzoni tulikuwa Mimi, @themafik_ na @officialshetta baadae wakamleta @officialnandy na @aslayisihaka "

"Nilitumiwa Post ya performance jioni nikatumbuize Usiku, Ili waseme tu sijajipanga"

"Boss Ruge alikuwa ana akili sana tuseme ukweli tu, Alimleta Nandy Kings Music ili wanichallenge sijui au waniue"

"Na hata alivyomleta kwenye Management bado alikiwa anataka kumsimamia, Hakwenda kwenye show lakini akatetewa"click hiyo link kusikia aliyoyasema
https://www.youtube.com/watch?v=_Kg63EtU1pE

Ameyasema hayo @iamrubyafrica katika interview na #wasafiFM 
download APP yetu ya MIKOGO BLOG playstore kwa taarifa zaidi

Comments