NIMEKUJA KUWAFURAHISHA WANA YANGA

Winga mpya wa Yanga Issa Birigimana 'Walcott' amesema baada ya kukamilisha usajili wa kujiunga na mabingwa hao wa kihistoria, anakuja nchini kufanya kazi


Birigimana anayemudu kucheza namba saba na namba tisa, amesema alikuwa na msimu mzuri katika klabu ya APR, anaamini atahamishia makali hayo ligi kuu ya Tanzania Bara

kuwafurahisha mashabiki wa Yanga Tanzania," amesema

"Nimesaini Yanga miaka miwili, nakuja 


Bigirimana ataungana na kiungo fundi Patrick Sibomana ambaye nae ametokea klabu ya Mukura Victory ya hukohuko Rwanda


Nyota hao wamesajiliwa baada kuidhinishwa na kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera


Comments