Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji, leo Jumatano May 22 2019, ameteua wajumbe watatu wapya wa Kamati ya Hamasa na Uchangiaji ili kuiongezea nguvu zaidi Kamati hiyo
Walioteuliwa ni;
Ivan Tarimo, Leevan Spanish Maro na Richard Kalongola
Comments
Post a Comment