
Ni bora ukawa na Mia mfukoni lakini umeipata kwa jasho na una amani. Nimetembea hiyo Mikoa yote ni matajiri wachache sana wanaofurahia Pesa zao. Lakini wengi Pesa zao ni za 'ndagu' zenye masharti lukuki ambayo ni ya kujitesa tu, Utembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, Usivae viatu zaidi ya kandambili, Usijisaidie kwenye choo cha nyumbani na mengine mengi magumu
chanzo: udakuspecial
bonyeza hilo link hapo chini kwa taarifa zaidi
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mikogo.blog
Comments
Post a Comment