Kiungo Mafunzo ambaye yuko kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Zanzibar, Abdulaziz Makame, amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Yanga
Makame anakuwa mchezaji wa kwanza wa ndani kusajiliwa na Yanga msimu huu
Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 23 alikuwa akiwaniwa na AFC Leopards ya Kenya lakini ni Yanga iliyofanikiwa kuipata sahihi yake
Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera ameidhinisha usajili wa Makame ambaye atakuwa miongoni mwa wachezaji wanne wazawa wakaosajiliwa na Yanga
Comments
Post a Comment