Kuna video inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimwonyesha mchungaji wa kanisa la Ufufuo na uzima, Josephat Gwajima akiwa kwenye mazingira ambayo si ya kimadili. Video hiyo inamwonyesha Gwajima akiwa na mwanamke kitandani, du! kali ya mwaka. Bado halijafahamika jina la mwanamke huyo. kuhusu suala hilo Kamanda Lazaro Mambosasa ameongea na AyoTV na hapa ananukuliwa “Tayari Askofu Gwajima ameitwa Polisi kwa ajili ya kuhojiwa na ataripoti kesho asubuhi, akichelewa atakamatwa na tumemuita sababu hakuna aliyelalamika lakini tumeona ni kitendo cha ukiukwaji wa maadili, awe Askofu awe Mtu wa kawaida ule ni unyama” wa kawaida ule ni unyama" -Kamanda Mambosasa
chanzo: udakuspecial
ili kujua kitakachoendelea kuhusu kashfa hiyo ya Gwajima baadae hii leo, tafadhali tembelea PLAYSTORE kisha download APP yetu ya MIKOGO BLOG
Comments
Post a Comment