Binti wa miaka 19 Amuua mpenzi wake kwa Kisu


Image result for blood knife image

Bomet, Kenya..Polisi wanamshikilia binti huyo kwa tuhuma za mauaji. Inaelezwa kuwa wawili hao walikuwa kwenye mgogoro kuhusu fedha anazopata Mwanaume huyo
Mwanaume huyo alifariki wakati akikimbizwa Hospitali ya Rufaa ya Longisa baada ya kujeruhiwa kwa kisu shingoni
Baada ya upekuzi wa Polisi ndipo kisu kinachoaminika kutumika kilikutwa kwenye nyumba wanayoishi.
chanzo: udakuspecial

Comments