Nandy hafui wala kunyoosha nguo zake mwenyewe


Image result for NANDY HD PHOTOS

Msanii wa bongo fleva aitwae Nandy amekiri kuwa yeye huwa hafui wala Kupasi nguo zake mwenyewe. Nandy amedai kuwa hana muda wa kufanya shughuli hizo kutokana na kuwa bize kupindukia. kwa sasa mkali huyo yupo pande za Nairobi akijiandaa kwa uzinduzi wa albamu yake iitwayo THE AFRICAN PRINCESS. Katika ziara hiyo ya nchini kenya, mwadada Nandy kaambatana na watu mbalimbali ambao watakuwa na sambamba katika kufanikisha uzinduzi huo wa albamu yake. For more info: nipate fb, insta, na twitter kwa jina la william chazega. Pia whatsupp tunatumia 0711632390

Comments