Irene Uwoya amwondolea uvivu Mwijaku

Mwigizaji wa bongo movie, Irene Uwoya amefunguka kwenye ukurasa wake wa Insta na kumdis Mwijaku kutokana na vitendo vya Mwijaku kumzungumzia na kumkosoa mwadada huyo ambaye hapo awali alikuwa kwenye  ndoa na msanii dogo Janja. Irene ameonekana kukerwa na tabia ya Mwijaku ambaye amekuwa akimfuatilia na kuzungumzia ishu zake. kupitia ukurasa wake wa Instagram Irene kafunguka yafuatayo: 
"Hii post ya saa moja tu nimekuangalia kwa muda mrefu sana nimenyamaza kawaida sipendi maneno ila naona nikikaa kimya unaniona zoba, niliamua kukaa kimya kwa sababu sibishanagi na wali mimi, wewe msh****”

Comments