kuna uwezekano wa kutokea kwa kimbunga kwenye maeneo ya magharibi mwa bahari ya tarehe 24/04/2019 au 25/04/2019. taarifa hii imebainishwa na mtandao wa kimarekani unaohusu masuala ya hali ya hewa uitwa Accuweather. Tayari hali ya taharuki imeanza kutanda miongoni mwa wakazi wa maeneo ya kando na bahari ya Hindi. ikumbukwe wiki chache zilizopita nchi ya Msumbiji ilikumbwa na kimbunga kikali kiitwacho Idai.

Comments
Post a Comment