bado stori zinaendelea kuwahusu wapenzi wa zamani Diamond platnumz na Zari the Boss lady. hivi karibuni kupitia interview ya Wasafi TV Diamond alifunguka mambo lukuki kumhusu mzazi mwenzake Zari. katika mahojiano hayo Diamond alinena kwa uhakika wote kuwa Zari alichepuka na Peter wa P square na kibaya zaidi pia Zari alichepuka na trainer wake yaani mwalimu wake wa mazoezi. Diamond aliendelea kusema kuwa baada ya kugundua hilo alichukulia poa kiaina. Hatimaye naye Diamond akaamua kuonesha makucha yake. Pia Diamond alidai kuwa hajawahi kuachwa na mwanamke, yeye ndio huwa anawaacha wanawake.

Comments
Post a Comment