Hit maker wa Tetema Diamond platnumz leo hii amekiri kuwa kituo cha Redio cha wasafi FM si mali yake peke yake. Akijibu swali la mtangazaji Diamond alisema kuwa kufanya jambo kama hilo ni muhimu kuwa na watu wengine wa kukupa shavu. Diamond kafunguka hayo baadaa ya kuwepo kwa minong'ono ya hapa na pale ikimhusisha mmiliki wa kituo cha Clouds FM kuwa eti ana hisa katika Wasafi FM. Kuhusu hilo la Kusaga, Diamond hajaweka wazi jina au majina ya watu aliokolabo nao kuiweka kwenye ramani ya media Wasafi FM.

Comments
Post a Comment