Barnaba aachia video mpyaaaa

Msanii wa muziki, Barnaba Classic ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Nyang’a Nyang. Video ya wimbo huo imeandaliwa Visiwani Zanzibar chini ya director Msafiri kutoka Kwetu Studio.
chanzo: bongo5

Comments

Post a Comment